GOSPEL NYIMBO ZA DINI

Rose Muhando – Sunday Mix Ft Christina Shusho & Mercy Masika

Mixtape hii ina nyimbo na sifa na kuabudu. Mixtape hii inawashirika wasanii tajika wa muziki wa injili kutoka kanda ya Afrika Mashariki kama vile; Christina Shusho, Rose Muhando, Mercy Masika, Kambua na Alice Kamande.

RELATED: Rose Muhando – Miamba Imepasuka

Nyimbo zilizo kwenye mixtape hii ni wenye ujumbe utakao kuisaidia kusonga karibu na Maulana.

AUDIO Rose Muhando – Sunday Mix Ft Christina Shusho, Mercy Masika MP3 DOWNLOAD

Leave a Comment