AUDIO

Nacha – Sitaki Mapenzi

AUDIO Nacha – Sitaki Mapenzi DOWNLOAD
Written by Samiry Tigger

Tanzanian hip-hop recording artist, rapper, and poet, Nacha, has made a triumphant return with his latest musical masterpiece titled “Sitaki Mapenzi.”

RELATED: Nacha – Vimba

SHORT LYRICS

Nakumbuka nilikonda nikachoka nyaka nyakaa…
Moyo nikaudhoofisha kupenda nisipo takwaa… nlinyanyaswaa.
Nliburuzwa anavyotaka nikabaki na vidonda kama punda aliechapwa.
Nilikua ni mshamba auu, Au nilikua ni mtoto sana auu, (Au dharauuu).
Mwambieni mi sio type yake tenaaa, na tena akiniona atakosa la kusema.
Sikuizi mi nnavimbaa nnanenepa, sitaki kumuwaza mtu NAWAZA PESAA
Skuizi nnang’ara na ngozi inawaka Nikitaka chochote Sina gumu nnapata
Mwambieni mi ndo yule alieniacha, kaniacha nikapata, sa nnawaka haswaa.
kwanza ni kama ana nyota mbayaaa, maana toka alivoniacha nimekua sawaa.

Nnafanikiwa, kazi nimepata
Biashara hata faida napata.
Huoni hata picha zangu Insta** nlivokaa Kaa tuu ni kuchinjaa

Sitaki tena mapenzi tena sitakii (sitakiii)
Nataka niniii… (Pesaaaa)
Sitaki tena mapenzi tena sitakii (sitakiii)
Nawaza niniii… (Pesaaa)
Sitaki tena mapenzi tena sitakii (sitakiii)
Nataka niniii… (Pesaaaa)
Sitaki tena mapenzi tena sitakii (sitakiii)
Nawaza niniii… (Pesaaa)

Listen to “Nacha – Sitaki Mapenzi” below;

AUDIO Nacha – Sitaki Mapenzi DOWNLOAD

MP3 DOWNLOAD

About the author

Samiry Tigger

Leave a Comment