Tanzanian gospel recording artist, Martha Mwaipaja has released a brand new gospel song titled Cha Kutumaini Sina.
RELATED: Martha Mwaipaja – Ni Tabibu
Tenzi hii ya cha kutumaini sina nimeiomba nikiwa najua kabisa hakuna cha kutumaini kwenye maisha yangu ya hapa duniani. Usikate tamaa bado Mungu anakuwazia mema endelea mbele ukijua kwamba yeye ndie mwamba salama kwenye kila eneo la maisha yako