Majina ya Wanaume na Sifa Zao Katika Mapenzi
Katika pitapita na mihangaiko mingi tuliyonayo wanadamu huwa tunapata fursa ya kukutana na watu wa aina tofauti tofauti.
Pamoja na utofauti wa sura, umri, maumbo n.k ila kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mtu na jina. Mara nyingi majina hufanya tabia za watu zifanane.
RELATED: Majina ya wanawake na sifa zao katika mapenzi
Utasikia huyu mtoto alipewa jina la marehemu Babu yake na amekuwa na tabia kama za Babu yake.
Ushauri wangu ni kwamba Tafadhali jalibu kumwita mtoto wako jina “Benard” unless kama unataka awe mtu mwenye matukio ya ajabu ajabu katika jamii yake.
Ebu pitia-pitia majina na tabia zao alafu utuambie kuna ukweli kiasi gani hapo….!!!
Majina ya Wanaume na Sifa Zao Katika Mapenzi
1:: Andrew – mapenzi ya tamthiliya
2:: Nicolas – muongo
3:: Albert – domo zege ila mjanja mjanja
4:: Mathias – anapenda mwanamke kwa muda mrefu
5:: Joseph/Josephat/yusuph – kicheche
6:: Jeryson – anapenda mademu ila wanawake wanamkataa
7:: Shadrack – anapenda sifa kwa mademu
8:: Richard – ana wapenzi wengi ila msiri
9:: Mathew – anapendwa na wanawake ila domo zege
10:: Thomas – anapendwa na mademu ila hajatulia
11:: Prosper – hajui habari za mapenzi
12:: Fidelis – mtaalam wa kutongozea mademu wenzie au kuwadi
13:: Aaron – maneno mengi ila vitendo sifuri
14:: Costantine – wanapenda kutongoza hovyo ingawaje wana mpenzi mwaminifu
15:: Elvis – handsome ila hapendwi na mademu
16:: Edward – serious sana kwenye mapenzi
17:: Moses/Mussa – mwepesi kutongoza na mwepesi kuwacha
18:: Ally/Elly – wasiri sana kwenye mapenzi
19:: Mohammedy – anapenda watu waliomzidi umri
RELATED: Henry Cavill reveals fired from Superman role just…
20:: Nickson – wakiingia kwenye mapenzi wanatendwa vibaya
21:: Alpha – wanapenda sifa kwa wanawake ili wapendwe
22:: Jimmy – wana mapenzi ya kejeli
23:: Elias – wanapenda mademu ila wanaogopa kuwaambia
24:: Frank – huyu mpole wanawake wanajitongozesha wenyewe
25:: Joachim – hana habari na mademu,anaamini ipo ataoa tu
26:: Omary – anapenda achape tu atembee
27:: Steven – hana habari kabisa na wanawake ila ana bahati ya kupendwa
28:: Gerald – mpole na antulia na mpenzi mmoja kwa mda mrefu
29:: Elisha – anapenda wanawake wanaochukiwa katika jamii
30:: Benard – akipenda kapenda
31:: Juma – hawa kazi yao ni kuchafua wanawake wa mtaani na jamii inayozungukwa
32:: Kassimu – anapend utukufu na kusifiwa hata na mkewe
33:: Khalid – msumbufu na anapenda kupedwa kuliko kupenda wanawake
34:: Daniel – anawivu sana mjanja na anapenda kujua mambo yaliyojuu ya uwezo wake
35:: Said – hajui kupenda na huwa anatamaa hasa kwa bint weupe
36:: Rajabu – mgumu kumuamin mwenza wake
37:: David – Kupenda kujionesha mbele ya wanawake kwamba anauwezo mkubwa hata kama hana
38:: Farid – Mpenda wanawake warefu wenye mwanya na shepu
39:: Rama – hupenda kusikilizwa yeye tuu na anapenda wanawake wenye makalio makubwa hasa wanene
40:: Seleman – anapenda ngono
41:: Issa – huwa na msimamo hasa katika maamuzi yake hat kwa mwenza wake
42:: Fadhili – vitu vyake ni vya siri saana na hata mwenza wake ni ngumu kujua
43:: Charles – Hapend kudumu katika mahusiano na hupenda kuwa pek yake
44:: Karimu – hupenda kuwa na wanawake weupe
45:: Laurence – hunyanyasika kwenye mahusiano hata huweza kulia hovyo
46:: Masoud – anajua kujali na kuheshimu ndoa yake ila mkali sana
47:: Hamad – mpole pia hapend kutoa siri zake kwa mwenza wake pia hupend kunyenyekew na mpenz wake
48:: Hasani – hupenda kupewa kuliko kutoa hata kwa wenza Wap
49:: Alen – hupenda kulaumu hata kwa jambo dogo na hupend wanawak weupe
50:: Luka – wanapenda kwa mda ukijichanganya utaumia ukiwa nae
51:: Jafari – Hupenda wake za watu
52:: Ivo – muongo kwenye mapenzi na kutongoza na mwepesi kuwacha,anapendwa na mademu ila hajatulia,kuchafua wanawake wa mtaani na jamii inayozungukwa,anapenda ngono n.k.
Majina ya Wanaume na Sifa Zao Katika Mapenzi
Keep on visiting our Website for more updates